Kitemiar

Kitemiar ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Watemiar. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitemiar imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitemiar iko katika kundi la Kiaslian.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search